Thursday, December 20, 2012

UEFA CHAMPIONS LEAGUE DRAW - ROUND OF 16

GATASALARY FC Vs FC SCHALKE 04

CELTICS FC Vs JUVENTUS FC

ARSENAL FC Vs BAYERN MUNCHEN

SCHALKE DONERSKY Vs BORUSSIA DORTMUND

AC MILAN Vs FC BARCELONA

REAL MADRID Vs MANCHESTER UNITED

VALENCIA Vs PARIS SAINT-GERMAN

FC PORTO Vs MALAGA FC  



Friday, December 14, 2012

SHINJI KAGAWA TO HAND MANCHESTER UNITED FITNESS BOOST WITH TRAINING RETURN

Manchester United manager Sir Alex Ferguson has confirmed that midfielder Shinji Kagawa is due back in full training next week and is “doing very well”.

The summer signing from Borussia Dortmund has not featured for the Red Devils since picking up a knee injury in the Champions League win over Braga back in October.

However, the Japan international appears to be closing in on a return to action with Sir Alex Ferguson confirming his recovery is going well.

"Shinji should start training with the first team on Monday, which is good news," he told reporters in his pre-match press conference.
"He’s doing very well now. Nani is still out. Rio’s okay, there’s no problem with him. We’re more or less in good shape.”

There was further good news for the league leaders as Nemanja Vidic has also returned to fitness and will be included in Saturday's squad to face Sunderland at Old Trafford.
"Nemanja is back in the squad tomorrow but Jonny Evans is out obviously after his injury last week," added Sir Alex.

"He got the injury midway through the first half and he struggled on to half-time but I always think with muscle injuries that if you start the second half with it it’s a problem.

"Chris Smalling came on and did very well, played excellent. But having Vidic back in the squad is a big, big one for us. My only issue is whether to start him or not. We hope we have given Nemanja the proper rehabilitation.

“We’ll give him a chance and we hope he sails through it but I don’t know whether he will start. He’s only played 10 games in the last 12 month which is not like Nemanja.”

Thursday, December 13, 2012

KOFFIE AWASILI NCHINI...

 Mwanamziki mashuhuri na maarufu Afrika,Koffie Olomide(pichani katikati) awasili Tanzania jana usiku kwa ajili ya kupga show iliyo andaliwa na PrimeTime Promotion itakayofanyika leaderz Dar es salaam na baadae kumalizia Mwanza.picha na Millard Ayo.

TAMKO LA SIMBA JUU YA KUVUNJA MKATABA NA MILOVAN NA SUALA LA MRISHO NGASA..


Hatimae club ya Simba imethibitisha kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Milovan Cicovic ambapo sasa wanatarajia kumtambulisha kocha mpya kutoka Ufaransa.Namkariri afisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga akisema “huyu kocha ana uzoefu mkubwa sana zaidi ya ukocha wa kufundisha timu kubwa alianzia maisha kwenye Academy, amepitia Academy ya ufaransa ambayo ni maarufu sana na ndiyo iliyotoa kina Thiery Henry wakati huo, mbali na timu kubwa atatutengenezea mfumo mzuri wa kutengeneza timu yetu ya     vijana, sasa hivi Tanzania tunashindana na timu mbili za mamilionea”

.
                    Kwenye line nyingine Kamwaga amesema “atasaidia kukuza viwango vya wachezaji wetu, kama atakua na Simba nzuri manake na timu ya taifa pia itafaidika kwa sababu Simba ndio tegemeo la timu ya taifa ya Tanzania”
Kuhusu ishu nzito ya kumuuza mchezaji Mrisho Ngassa kwenda kucheza Sudan Kamwaga amesema “sisi tumeshakubaliana na Azam kwamba Ngassa akiuzwa basi tutagawana nusu kwa nusu lakini cha msingi Ngassa hawezi kuchezea timu nyingine hapa Tanzania ambayo siyo Simba kwa sababu tuna mkataba nae unaoisha May, Ngassa bado ni mchezaji wetu na tunataraji kwamba mwishoni mwa wiki hii atajiunga kwenye mazoezi na wenzake kwa ajili ya kujiandaa sasa na ligi kuu ya Tanzania na michuano ya kimataifa”
“Wanasema yeye aliongea na hiyo timu ya Sudan na kukubaliana kulipwa dola za kimarekani elfu 70 kwa hiyo Kama atataka kwenda Sudan atakwenda, kama hatokwenda sisi tutamtumia lakini hatuwezi kumpandisha ndege au kumlazimisha, kama atakwenda tutampa ushirikiano kwa asilimia 100 na kama hatotaka kwenda pia tutampa ushirikiano kwa asilimia 100″ – Kamwaga
Kwenye sentensi ya mwisho Kamwaga amesema mlinda mlango namba moja Afrika Mashariki anaetokea Uganda ameshaingia Dar es salaam tayari na anafanyiwa vipimo vya Afya kwenye hospitali moja na kama atafaulu basi atasajiliwa na Simba.

NIGERIA WAAMUA SASA..

Wakati nchi nyingi za Africa bado zipo kwenye kitendawili ya kupata umeme wa uhakika ikiwemo Tanzania, serikali ya mji wa Lagos Nigeria imetangaza kuanza kuufanyia kazi mpango wa kutengeneza umeme kutokana na takataka.
Managing Director wa mpango huo Ola Oresanya amesema umeme utaanza kufanya kazi 2013.

KAULI YA CHADEMA KUHUSU MAGUFULI KUMPIGIA DEBE ODINGA KENYA


Mwenyekiti wa  chama cha demokrasia CHADEMA kimeitaka  Serikali kutolea ufafanuzi suala la WazirI wa ujenzi Dr. John Magufulu kuhudhuria  Sherehe  za kutambulishwa kwa mgombea urais chama cha ODM Kenya Raila Odinga endapo suala hilo lina uhusiano wowote wa Kiserikali.
Mkurugenzi wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Ezekiel Wenje(pichani kushoto) amesema kitendo cha waziri huyo kuhudhuria sherehe za kutambulishwa wa Raila kinatoa picha mbaya ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Kenya iliyopo  Madarakani kutokana  na ushirikiano wa muda mrefu kati ya serikali hizo.
kwenye sentensi nyingine Wenje amesema Magufuli kupanda jukwaani kuanza kumnadi kiongozi wa ODM ni ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kimataifa ambapo amedai kwa mujibu wa kanuni za Umoja wa mataifa ni kosa kubwa Taifa moja kuingilia siasa za Taifa jingine hata kama hayo mataifa yanaushirikiano wowote.

KAULI YA FAMILIA YA MAREHEMU SHARO MILIONEA KUHUSU SAUTI YA SHARO KUENDELEA KUTUMIKA KATIKA MATANGAZO YA AIRTEL..

Ni watu wengi wamehitaji kufahamu kuhusu kauli ya familia ya Marehemu mwigizaji/msanii Sharo Milionea baada ya tangazo la Airtel lenye sauti yake kuendelea kutumiwa na kampuni hiyo wiki kadhaa baada ya Sharo kufariki kwa ajali ya gari iliyotokea novemba 26 2012 Tanga.
Mjomba wa Marehemu ambae ndio msemaji wa familia Shaban Mkiete amethibitisha kwamba wamezungumza na kukubaliana na kampuni ya Airtel na hapa namkariri akisema “ni kweli tumekubaliana, kwa mujibu wa makataba wao lilikua linaisha terehe 31 mwezi huu tumekubaliana kwamba liendelee kwa makubaliano ambayo tumekubaliana nayo sisi kati ya mzee Majuto ambae bado yupo na familia ya Marehemu, mama mzazi wa Sharo Milionea ameridhia hilo hakuna tatizo”
Siku ya msiba millardayo.com ilipopata nafasi ya kuongea na mwakilishi wa Airtel alisema Marehemu Sharo Milionea alifariki ndani ya kipindi cha miezi 6 tu toka asaini dili la kuwa balozi wa Airtel na kufanya matangazo mbalimbali yeye na mzee Majuto.
                    Mama mzazi wa Marehemu.
Sio tu dili la Airtel, imefahamika tayari Sharo Milionea alikua amesaini mikataba mizuri na makampuni mbalimbali wakiwemo Wamarekani waliotengeneza filamu maarufu Afrika kama Yellow Card, Neria na nyingine ambapo kwa sasa Wamarekani hao wako hapa Tanzania na wametengeneza series kadhaa ikiwemo Wahapahapa na Siri ya Mtungi ambayo ndio Sharo Milionea kashiriki ndani na mpaka anafariki tayari alikua ameshaanza kucheza igizo hilo.

Wednesday, December 12, 2012

NANI KUIONGOZA MAN U,PEP AU THE SPECIAL ONE?...

LONDON, ENGLAND
HABARI kutoka England zinasema kocha wa Manchester United, Alex Ferguson ataachana na soka mapema mwakani.

Kocha huyo raia wa Scotland ambaye alitimiza miaka 26 kwenye klabu hiyo na kupewa heshima ya mnara wikiendi iliyopita, amefikisha miaka 70 na anaona kwamba ni wakati mwafaka wa kupumzika.

Imekuwa ni kawaida kwa Ferguson kusema kuwa ataachana na soka karibuni lakini habari kutoka katika familia yake zinasema kuwa kocha huyo sasa anataka kuachana na mchezo huo mwakani na kama ikiwezekana baada ya kumalizika kwa msimu wa Ligi Kuu England.

Kocha huyo ambaye ameipatia klabu yake vikombe 19 vya Ligi Kuu anatimiza miaka 71 mwezi ujao na anadhani ameshawatumikia wapenzi wa klabu vya kutosha.

Kumekuwa na tetesi kuwa iwapo kocha Alex atastaafu nafasi yake inaweza kuchukuliwa na Jose Mourinho au Pep Guardiola.

TYSON ABADILI MAUMBILE YAKE NAKUWA MWANAMKE.....!

NEW YORK, Marekani
BINGWA wa zamani wa ndondi uzito wa juu, Mike Tyson anadaiwa kubadilisha jinsia kutoka kuwa hali ya kiume na kuwa kike.

Habari za kufanyiwa upasuaji huyo kwenye hospitali moja mjini, Beverley Hills, Marekani ziliteka mitandao kadhaa ya kijamii, huku pia gazeti la The Standard likiwa na habari hiyo.
Hata hivyo, habari hizo hazijathibitishwa ramsi ingawa mpaka jana jioni mitandano mingi ya kijamii ilikuwa na taarifa hizo.

Bingwa huyo wa zamani aliyejitaja kama �Mwanaume mbaya duniani�, mzaliwa wa Brooklyn, aliwaambia waandishi wa habari kuwa siku kwanza atakayopata hedhi (kuona siku zake) ndiyo itakuwa kamilisho la ndoto yake.

Lakipi pia katika kuhakikisha anakamilisha dhamira yake ya kuwa mwanamke, amesema kuanzia muda huo jina lake ramsi sasa litakuwa Michelle.

"Baadhi ya watu wanaweza kudhani mimi ni mtu wa ajabu kwa sababu sasa ni mwanamke," alisema bingwa huyo wa zamani wa ndondi aliyewahu kuhukumiwa kwa shitaka la kubaka.

Upasuaji wa kubadilisha jinsia ya Tyson ulichukua takribani masaa 16, akibadilishwa sura, rangi na mambo mengine ya kumfanya avutie kama mwanamke.

�Pamoja na ubabe wangu ulionifanya kuwa mpiganaji mzuri, sikuwahi kupoteza hali yangu ya uanamke na nilijua ipo siku moja matiti yataota na pia nitakuwa na sehemu za siri za mwanamke.

Tyson, maarufu kama 'Iron Mike au Iron Maiden', aliyewahi kumng'ata meno bondia, Evander Holyfield walipodundana mwaka 1996, alipandikizwa homoni za kike zitakazomfanya kuwa na tabia za jinsia hiyo.

Tyson, akiwa amevalia wigi, suruali aina jeans yenye nyeusi na fulana ya rangi ya Bluu na kuonekana mwenye furaha, alisema kubadilishwa kwake viungo na kuwekwa vya kike, kunathibitisha mwisho wa tabia yake mbaya.

Pamoja na watangazaji wa ndondi kushangazwa na hatua hiyo ya Tyson, lakini wengi wamekubali kwamba kuna mabadiliko ya kitabia yameonekana. "Amabadilisha kimavazi, mwonekano na kizuri zaidi amekuwa mpole," taarifa zilidai.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa mbalimbali za uzushi zikiwahusu watu maarufu, ambapo katika ya mwaka huu msanii Eddie Murphie alidaiwa kufa katika ajali ya boti ya kuteleza kwenye barafu.

Msanii mwingine aliyehushishwa na uzushi huo ni Will Smith ambaye naye alikumbwa na kadhia ya kudaia kufa. Wote wako hai mpaka sasa.

MAGAZETI YA LEO TAREHE 13/12/12,UDAKU,MICHEZO NA HARD NEWZ......














Tuesday, December 11, 2012

Happy birth DAY MY LOVLY SISTER REGINA EMMANUEL PATRICK MGONGO

To be your Brother with your father/mother and your friend is the most beautiful role of my life.
You just gave us a special meaning in our life. We are so proud of you our dear daughter and today on your special day, we praise heavens for your life. We love you so dearly!
As you are turning eight (8) today (12/12/12) and going grade four

(4) it is very special day, of which we all have to wait another 100 years to see dates arranged like this again (12/12/12).
We thank all your Teachers of ABC CAPITAL SCHOOLS, your Brothers and Sisters for rising you while we your parents trying to fight for life here and there, we are so happy and proud of you becoming the “smartest girl 2012” at ABC CAPITAL SCHOOLS.
It’s so good to have a daughter like you. That’s why today on your birthday may all the wonderful things that you deserve may be bestowed upon you. May you have more great years to celebrate.
Enjoy life our sweetie baby! Happy birthday!
FROM YOUR Brother AND PARENTS MGONGO EMMANUELEY AND PAULINE LUTEGE